Top Stories

Shavu walilopata Simba SC waitisha mkutano waandishi wa habari

on

Club ya Simba SC imeingia mkataba wa udhamini wa miaka miwili na Emirates ACP wenye thamani ya Tsh milioni 300, nje ya pesa Emirates watakuwa wanatoa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi wa Simba SC katika kipindi chote cha miaka miwili.

.

.

.

.

.

TAZAMA SHANGWE ALILOPATA MEJA KUNTA SIMBA DAY, HAPATOSHI

Soma na hizi

Tupia Comments