Top Stories

Mapya ya Serikali ya Kenya kwa raia wake waishio Tanzania “Itadhibiti Uhalifu” (+video)

on

Tunayo stori kuhusu mpango ulioanzishwa na Serikali ya Kenya kupitia Ubalozi wake nchini Tanzania wa kuhakiki raia wake wote pamoja na kujua idadi yao.

Ayo Tv na Millardayo.com imezungumza na Balozi wa Kenya, Dan Kazungu ambapo amesema wameanza mchakato huo na wanatarajia kufika mikoa yote ya Tanzania lengo likiwa ni kujua wanaishi wapi, namba zao za simu, shughuli wanazozifanya na kujua idadi yao ni wangapi.

RAIS MAGUFULI AMUAGIZA WAZIRI JAFO AMTUMBUE MKURUGENZI WA BUTIAMA

Soma na hizi

Tupia Comments