AyoTV

VIDEO: Mambo matano ya Mbunge Agnes Marwa Bungeni leo June 19, 2017

on

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara kwa tiketi ya CCM Agnes Marwa leo June 19, 2017 alikuwa miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kusimama Bungeni Dodoma na kuwasilisha mapendekezo yake katika Bajeti Kuu ya Serikali kwa mwaka wa fedha 2017/18 na kati ya alivyovigusia ni pamoja na ahadi ya Tsh. 50m aliziahidi Rais JPM wakati wa kampeni za Uchaguzi Mkuu 2015…

Rose Tweve kuhusu matarajio ya Bajeti Kuu 2017/18 

Soma na hizi

Tupia Comments