AyoTV

VIDEO: Anachokiona Hussein Bashe kuhusu ujenzi wa reli mpya

on

April 28, 2017 Mbunge wa Nzega mjini Hussein Bashe alikuwa ni miongoni mwa wabunge waliopata nafasi ya kuchangia bajeti ya Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na mawasiliano ambapo kati ya vitu ambavyo hakuacha kuzungumzia ni pamoja na mpango wa serikali kujenga reli ya kati.

Full video nimekuwekea hapa chini tayari…

VIDEO: ‘Iko wapi ahadi ya Rais Magufuli’ –Mary Mwanjelwa 

BREAKING NEWS zote na stori za mastaa utazipata kwa Reporter wako MillardAyo, hakikisha umejiunga na mimi kwenye Facebook, Twitter, Instagram, Snapchat, Youtube, APP kwenye ANDROID na IOS kote huko kwa jina hilohilo la @millardayo

Soma na hizi

Tupia Comments