Habari za Mastaa

Kuwa wa kwanza kuusikiliza wimbo mpya wa Steve Rnb She Dance.

on

PicsArt_1398809363547Mkali toka Tanzania ambaye yupo kwenye list ya Wanamuziki wanaofanya vizuri kwenye muziki wa Rnb,Watanzania wengi tulimtambua Steve Rnb baada ya kushirikishwa na Mr. Blue kwenye wimbo wa Tabasamu,huu ni wimbo wake mwingine mpya unaitwa She dance,usikilize halafu unaweza andika ulichokisikia juu ya wimbo huu ili baadae nae akipita asome.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments