AyoTV

VIDEO: Mnaopenda kuvuta Sheesha kuna hili tangazo la Serikali

on

April 30 2016 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Jenista Mhagama amekutana na waandishi wa habari Dodoma ili kutoa elimu kwa umma juu ya madhara ya dawa za kulevya na namna ya kukabiliana na tatizo hilii.

Waziri Mhagama pia amepiga marufuku kwa watumishi wa Hospitali zote kutowauzia dawa za Methadone waathirika wa dawa za kulevya kwakuwa ilishatangaza kuwa ni bure…>>’Tumetoa onyo kali, na kila mtoa huduma ambaye atakiuka misingi ya huduma hii atachukuliwa hatua

Kama wewe ni mtumiaji wa Shisha hii pia inakuhusu, Waziri Mhagama anasema..>>>’Tumeanza kufanya utafiti na tumegundua kwamba kuna kila dalili ya matumizi ya dawa za kulevya katika shisha

Niwaombe Watanzania haswa vijana wanaojihusisha katika matumizi ya shisha katika maeneo ya starehe  wachukue tahadhari sana, ni eneo ambalo linapelekea matumizi ya dawa za kulevya

ULIIKOSA HII YA SENTENSI ZA PROFESA TIBAIJUKA KUHUSU KUANZISHWA KWA MAHAKAMA YA MAFISADI?

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments