Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: BREAKING: Jeshi polisi DSM wametoa siku 3 kwa Sheikh Ponda kujisalimisha
Share
Notification Show More
Latest News
Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
August 8, 2022
International Marathon yaacha historia Zanzibar
August 7, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > BreakingNews > BREAKING: Jeshi polisi DSM wametoa siku 3 kwa Sheikh Ponda kujisalimisha
BreakingNews

BREAKING: Jeshi polisi DSM wametoa siku 3 kwa Sheikh Ponda kujisalimisha

October 12, 2017
Share
1 Min Read
SHARE

Jana October 11 2017 katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislam Tanzania, Sheikh Issa Ponda alikutana na waandishi wa habari kwa ajili ya kuzungumza kuhusu safari yake ya Nairobi nchini Kenya alikokwenda kumjulia hali Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.

Taarifa zilizoripotiwa jana ni kuwa baada ya mkutano huo na wandishi wa habari polisi walifika eneo kwa ajili ya kumkata Sheikh Issa Ponda lakini hawakufanikiwa.

Sasa leo October 12 2017  Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa wakati akizungumza na waandishi wa habari amesema wametoa siku tatu kwa Sheikh Ponda ili kujisalimisha kituo cha polisi na asipojisalimisha watampata sehemu yoyote.  Sheikh Ponda anatuhumiwa kutoa lugha za uchochezi. Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama

Unaweza kutazama mkutano wote wa Kamanda Mambosasa na waandishi wa habari kwa kubonyeza play hapa chini, AyoTV ilikuwa LIVE

You Might Also Like

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 29, 2021

PICHA: Mapokezi ya Timu ya Taifa ya Guinea ikitokea CHAN Cameroon

Simba waifuata AS Vita nchini Congo DR, Mkude hayupo tayari anahitaji muda

PICHA 9: Usiku huu jijini DSM foleni iliyosababishwa na mvua

EXCLUSIVE: Salim Kikeke aeleza kilichomkwamisha Samatta EPL, Mashabiki wa Aston Villa wagawanyika

TAGGED: top stories
Edwin Kamugisha TZA October 12, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Wahujumu uchumi wafikishwa Mahakamani Kisutu leo
Next Article HEKAHEKA:Ushirikina wamuua kijana, mkewe ahamishia kesi kwa wakwe
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam
Mix August 8, 2022
Kizz Daniel kutotokea kwenye show, Str8upvibes watoa tamko
Top Stories August 8, 2022
Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu
Mix August 8, 2022
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 8, 2022
Magazeti August 8, 2022

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 7, 2022

August 7, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 6, 2022

August 6, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 5, 2022

August 5, 2022
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo August 4, 2022

August 4, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?