Habari za Mastaa

Izzo Bizness ametuletea hii single mpya akiwa na G Nako & Mwana FA isikilize hapa

on

.

.

Rapper kutokea Mbeya City, Emmanuel Simwinga aka Izzo Bizness time hii ametuletea hii single mpya iitwayo Shem Lake amewashirikisha G Nako na Mwana FA.

Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Izzo Bizness, G Nako na Mwana FA wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..

Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa moja…>>>>> HAPA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter,FB,Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

 

Tupia Comments