Habari za Mastaa

Shetta kazungumzia ngoma yake ‘namjua’ stlye kufanana na ngoma ya Diamond na Harmonize

on

Kama umekuwa mfuatiliaji wa vichupa vilivyotoka hivi karibuni, ukiangalia Harmonize ‘Bado’, halafu ukiangalia wimbo wa Shetta ‘namjua’ aina ya video yake haina tofauti sana na ‘namba one’ ya Diamond na stlye za uchezaji ya ule wimbo inafanana sana  na wimbo wa ‘bado’ wa Harmonize, sasa inamaana idea zimeisha mpaka Shetta kaamua kupita na vitu vilivyofanywa tayari na wenzake.

Perfect Crispin ni mtangazaji wa Clouds FM anatusogezea stori hii ya Shetta na zingine zinazomhusu Ney wa Mitego na Nikki Mbishi. Angalia video hii hapa chini

ULIIKOSA HII BIRTHDAY PARTY YA NUH MZIWANDA? UNAWEZA  KUANGALIA VIDEO HII HAPA CHINI

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments