Breaking News

BREAKING: Shirika la kutetea haki za Binadamu lazuiwa kutoa Ripoti inayohusu Watanzania (+video)

on

Tume ya Taifa ya Sayansi (COSTECH) imelizuia Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch kuzindua Ripoti ya Watumishi wa ndani wa Kitanzania wanavyonyanyaswa nchini Oman na Falme za Kiarabu.

#MillardAyoUPDATES Shirika hilo limesema lilikutana na Wizara mbalimbali kabla ya kufikia siku ya leo kutaka kutangaza Ripoti hiyo lakini asubuhi ndio wameambiwa kwamba kuna baadhi ya hatua hawakuzifata….. bonyeza play kwenye hii video hapa chini kutazama ilivyokua

BREAKING: TAKUKURU INAMTAFUTA HUYU MTANZANIA MWENYE PESA NA MALI NYINGI, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUTAZAMA

VIDEO YA LULU KWENYE GARI LA POLISI AKIPELEKWA GEREZANI… TAZAMA HAPA CHINI KWA KUBONYEZA PLAY

Soma na hizi

Tupia Comments