on air with millardayo

Exclusive: Shilole alivyoolewa na dereva wa Lori, alivyouza soda stand ya basi na kuletwa Dar mara ya kwanza

on

Shilole ni mwigizaji lakini pia msanii kwenye bongofleva ambao ni muziki wa kizazi cha sasa Tanzania, ni miongoni mwa mastaa wa kike wenye mapito yao kwenye haya maisha ambapo leo anatusimulia jinsi alivyoolewa na dereva wa Lori na kuletwa Dar es salaam, alivyofanya biashara kwenye kituo cha Mabasi pamoja na ishu nyingine, bonyeza play kwenye hii video hapa chini…

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Soma na hizi

Tupia Comments