Habari za Mastaa

Shilole acharuka baada ya mwandishi kumuuliza kuhusu kupungua “Mnikome, sitaki” (video+)

on

Ni mahojiano na msanii kutokea Bongo Flevani, Shilole ambaye ameuliza kuhusu ishu ya kupungua baada ya kuonekana kanenepa na mashabiki wakidai apunguze kula.

Unaweza ukabonyeza playa kutazama alichokijibu Shilole.

BATULI AKERWA NA CONNECTION ZA MITANDAONI AOMBA RAIS AINGILIE KATI “TUNAOMBA MKONO WAKO KWENYE HILI”

 

Soma na hizi

Tupia Comments