Habari za Mastaa

Shilole kafunguka kuanza Upya, kaitambulisha team yake “Nimedhulumiwa sana”

on

Msanii Shilole ameitambulisha upya Management yake itakayohusika na kusimamia kazi zake za muziki Pamoja na mambo mengine ya kibiashara, kwenye utambulisho huo mbele ya waandishi wa habari Shilole hakuacha kuwatambulisha wanasheria wake huku akidai kuanza upya kupambana na waliomdhulumu kwenye kazi zake.

BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA SHILOLE AKIZUNGUMZA 

Soma na hizi

Tupia Comments