Habari za Mastaa

Shilole kaweka wazi anagombea ubunge 2020 “Naweza, nimejipanga”

on

Siyo mara ya kwanza kwa msanii Shilole kuhusishwa na kugombea Ubunge huko nyumbani kwao Igunga, sasa AyoTV na millardayo.com ikamuuliza tena kuhusu swala hilo ambapo Shilole akathibitisha kuwa atagombea Ubunge ifikapo 2020 na amejipanga vizuri.

Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Shilole akifunguka zaidi.

EXCLUSIVE: HAMISI KAFUNGUKA BAADA YA KUTOLEWA BSS “NINA UBOVU WA MASIKIO”

Soma na hizi

Tupia Comments