Habari za Mastaa

Shilole “Sherehe ya harusi yangu nitaingia na ndege, sitochangisha sitaki masimango” (+video)

on

Staa wa Bongofleva Shilole amesema kwenye sherehe ya harusi yake na Mumewe Rommy hatochangisha michango kwani hapendi masimango na ikiwezekana ataingia na ndege ukumbini.

Shilole ameyasema hayo katika futari aliyoiandaa kwa ajili ya watoto yatima na watu wake wa karibu katika kipindi hiki cha mwezi mtukufu.

Soma na hizi

Tupia Comments