Duniani

PICHA 20: Meli mpya kali ambazo zitazinduliwa mwaka 2017

on

Mwaka 2017 ndio huo umeanza na sio vibaya nikikupitisha kwenye hizi picha za meli kali kutoka sehemu mbalimbali duniani ambazo zitazinduliwa mwaka huu 2017

Meli ya Seaborne

Mgahawa kwenye meli ya Seabourne

Meli ya Viking

Meli ya Norwegian

Meli ya Princess

Meli ya Silversea

Meli ya MSC Melaviglia

AyoTVMAGAZETI: Janga jipya la elimu, Ahadi sugu zinazowasulubu wabunge majimboni, Bonyeza play hapa chini.

 

Soma na hizi

Tupia Comments