Top Stories

Shirika la Reli Tanzania watoa tamko kuhusu ajali ya Treni Mkoani Tabora

on

Shirika la Reli Tanzania (TRC) limetoa taarifa ya kuthibitisha kutokea kwa ajali ya treni namba T 14 iliyokuwa ikisafiri kutoka Kigoma kuelekea Dar es Salaam.

TRC imesema Watu wanne ikiwemo Watoto wawili wamepoteza maisha kutokana na ajali hiyo na majeruhi ni 132 ambapo ajali hiyo imetokea eneo la Malolo umbali wa kilomita 10 kutoka Tabora mjini.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

.

Tupia Comments