Habari za Mastaa

Shishi na mumewe nusu walianzishe baada ya kutoka kwenye party ya Wolper (Video+)

on

Ni baada ya kutoka kwenye party ya Mwigizaji Jacqueline Wolper ya kuvishwa Pete ya Uchumba na mzazi mwenzake Rich Mitindo.

Sasa miongoni mwa walioalikwa ni msanii Shilole na Mume wake, na hapa walizungumza na Ayo TV/ Millardayo.com unaweza play kufahamu walichozungumza.

WOLPER AFUNGUKA BAADA YA KUVALISHWA PETE YA UCHUMBA “ACHENI NILIE” GHARAMA YA PETE NI ZAIDI YA MIL.8

Tupia Comments