Mix

Nyumba ya Shilole imeguswa na bomoabomoa Dar?! ukweli uko hapa

on

Weekend ya November 22 2015 stori zilianza kwamba nyumba ya mwimbaji wa bongofleva Shilole imeguswa na bomoabomoa inayoendelea kwenye jiji la Dar es salaam, ukweli anao mwenyewe ukiibonyeza play kwenye hii video hapa chini.

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE kwa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments