Habari za Mastaa

Vipande vitano kutoka kwenye video mpya ya Shilole ‘chuna buzi’

on

dHizi video tano ni sehemu ya intro ya video ya ‘Chuna buzi’ ya Shilole ambayo imekuwa directed na Nisher ambapo taarifa kutoka kwa director huyo, hizi video ni za internet version na sio kwa ajili ya TV.

Taarifa ikufikie kwamba video hii itatoka na version mbili ili kujali maadili ya Tanzania na nyingine kwa ajili ya vituo vya nchi nyingine.

Ukitaka vitu kama hivi visikupite, jiunge na familia ya millardayo.com kupitia facebook twitter na instagram kwa jina hilohilo la @millardayo ambako nitakua nakudondoshea kila kinachonifikia iwe usiku au mchana.

Tupia Comments