Habari za Mastaa

Kipande kingine kutoka kwenye video ya ‘chuna buzi’ ya Shilole.

on

Screen Shot 2014-03-21 at 2.31.36 AMTarehe 24/3/2014 ndio siku ambayo full video ya ‘chuna buzi’ kutoka kwa Shilole itaanza kuonekana rasmi kwenye vituo vya TV lakini video hiyo itakua na version mbili, moja ya Internet na nyingine ya TV.

Ni video ambazo zote zimefanywa na Director Nisher kutoka Arusha.

Tupia Comments