AyoTV

Shilole kafunguka kurudi shule kusoma QT ‘Kingereza ni shida, watu wasinicheke’

on

Ni headlines za mwimbaji kutokea Bongo Flevani na Mamantilie, Bi Zuwena maarufu kama Shilole amefunguka na kuahidi kuwa anampango wa kurudi shule kusoma masomo ya QT (kidato cha kwanza mpaka cha nne).

Staa huyo akizungumza na ripota wa millardayo.com & Ayo TV alisema ‘Acha nirudi darasa jamani wanafunzi wenzangu tusome sasa, mimi napendelea somo la kingereza na somo la hesabu nitapambana ya hela yote’– Shilole

Unaweza ukabonyeza play kumtazama Miriam Odemba akieleza alivyokutana na mkali Beyonce na wengineo

ITAZAME HII VIDEO UJIONEE KINGEREZA CHA SHILOLE MBELE YA DC JOKATE MWEGELO

Soma na hizi

Tupia Comments