Habari za Mastaa

PICHA 14: Shilole na Vanessa walipokutana kwenye Stage Usiku wa May 29 2016 Club Billcanas

on

Huenda wewe ulikuwa ni moja kati ya watu waliokuwa wameshtushwa na taarifazilizokuwa zimeenea wiki mbili zilizopita kuwa Vanessa Mdee na Shilole wana bifu, ukweli umejulikana usiku wa May 29 2016, kuwa haikuwa bifu bali ni promo ya show yao ya pamoja waliofanya usiku huo.

3X6A9861

Dakika chache kabla ya Show Vanessa Mdee akiwa backstage alinukuliwa akisema “Kiukweli haukuwa ugomvi bali tulijaribu kuwaonesha watu kuwa usiamini kila unachokiona kwenye mitandao, namuheshimu sana Shilole katika kazi zake, lakini baada ya sisi kufanya vile watu walionekana kama wanataka kuona sisi tukigombana”

3X6A9862

3X6A9876

3X6A9878

3X6A9879

3X6A9893

3X6A9894

3X6A9897

3X6A9898

3X6A9906

Vanessa alimsurprise Shilole On Stage kwa kumletea zawadi ya ugali kwenye stage

3X6A9914

3X6A9915

3X6A9919

HARMONIZE ALVYOMPAMDISHA MAMA YAKE KWENYE STAGE NA KUMTAMBULISHA WOLPER MTWARA

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE

Soma na hizi

Tupia Comments