AyoTV

VIDEO: Hussein Bashe kuhusu mabadiliko ya Sheria mpya

on

Kutoka Bungeni Dodoma leo June 22, 2017 Waziri wa Fedha na Mipango Philip Mpango aliwasilisha muswada wa Sheria ya Fedha ya mwaka 2017 (The finance bill Act, 2017) pamoja na marekebisho yake ambayo yamesomwa kwa mara ya pili na miongoni mwa Wabunge waliopata nafasi ya kuwasilisha maoni yao katika muswada huo ni pamoja na Mbunge wa Nzega Mjini Hussein Bashe…

HATUA KWA HATUA: Ziara ya Rahco Ujenzi wa Standard Gauge 

Soma na hizi

Tupia Comments