AyoTV

VIDEO: “Rais Magufuli amewafanya watu wanachanganyikiwa” -Lucy

on

Baada kutolewa ripoti ya Taasisi ya Twaweza inayoeleza kushuka kwa ushawishi wa Rais wa Tanzania Dr. John Magufuli kuwa umeshuka kwa Watanzania wengi huku ikionesha anakubalika zaidi miongoni mwa watu maskini na wasio na elimu. Mbunge wa Viti maalum CCM Lucy Mayenga amesema kuwa kilichoelezwa na Twaweza ni sahihi kwa sababu Rais amejielekeza kwa makundi hayo ambayo hayana mtetezi.

VIDEO: Rose Tweve kuhusu matarajio ya Bajeti Kuu 2017/18 

Soma na hizi

Tupia Comments