AyoTV

‘Sho Madjozi’ akiwaimbia live watanzania Mama Amina ya Marioo Kidimbwi Beach DSM

on

NI Headlines za Mkali kutokea Afrika Kusini, Sho Madjozi ambae bado anaendelea na utoaji wa burudani nchini Tanzania na usiku wa kuamkia leo aliwaimbia live watanzania waliofika pembeni mwa fukwe za baharı huko Kidimbwi Dar es Salaam, Sasa hapa Ayo TV & Millardayo.com imekusogezea video ujionee akiimba live Mama Amina aliyoshirikishwa na Marioo.

Itazame hii video hapa ujionee Shangwe la Sho Madjozi kwa watanzania

MSANII WA AFRIKA KUSINI ALIEIMBA NA MARIOO AFUNGUKA KWA LUGHA YA KISWAHILI ‘MAMA AMINA WIMBO MZURI’

Soma na hizi

Tupia Comments