Mix

Ripota na mpiga picha wake wauawa kazini wakiwa LIVE kwenye Interview…(Video)

on

dd

Matukio ya raia kupigwa risasi ovyo mitaani limeendelea kuchukua nafasi kwenye headlines Marekani..Hili ni tukio lingine ambalo limetokea jana August 26 katika jiji la Virginia Marekani.

 

waand

Alison Parker na Adam Ward enzi za uhai wao

Tv Ripota wa kituo cha WDBJ7, Alison Parker na cameraman wake Adam Ward wakiwa kazini walipigwa risasi wakati wanafanya Interview katika mji wa Moneta.

live

Alison Parker na Adam wakiwa kazini kabla ya tukio

Aliyehusika kufanya tukio hilo inasemekana ni mwajiri wa zamani wa kituo hicho cha Televisheni na aliamua kusambaza video ya tukio hilo baada ya kufanya tukio hilo.

Polisi walifanikiwa kumweka chini ya ulinzi muhusika wa tukio hilo lakini wakati akiwa bado kwenye gari lake kabla ya kuwekwa mikononi mwa polisi alijipiga risasi na kufariki dunia akiwa ndani ya gari.

Video ya tukio zima iko hapa…

 

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments