Habari za Mastaa

VideoMPYA: Mr. Nice kwenye video hii mpya ya Harmonize, inaitwa ‘Sina’

on

July 27, 2017 miongoni mwa video mpya na fresh ambazo zimenifikia ni pamoja na hii ya staa wa Bongofleva kutoka WCB, Harmonize inayoitwa ‘Sina’.

Unaweza kuchukua dakika zako kuitazama mtu wangu na ukishamaliza kuitazama unaweza kuniachia comment yako ili Harmonize akisoma ajue umeipokea vipi mtu wangu!!!

VIDEO: Harmonize na Jah Praizah wakizungumzia wimbo wao mpya unaotoka soon

Soma na hizi

Tupia Comments