Top Stories

Shule aliyoijenga billionea Laizer yakamilika imetumia million 466

on

Bilionea wa kitanzania Saniniu Laizer ambaye alipata madini ya Tanzanite kwa nyakati tofauti amekamilisha ujenzi wa shule yake aliyoijenga nakuipa jina la Saniniu Laizer ambapo ujenzi wake umetumia million 466.

Shule hiyo imezinduliwa  na katibu tawala wa wilaya ya Simanjiro Zuena Omary ambapo amesema itapewa vibali haraka  nakuahidi kushirikiana naye ikiwa ni pamoja nakupeleka waalimu.

“NIMEKATWA MIGUU YOTE NA MKONO BABA AKAKIMBIA NA MILLION 5,MIAKA 15 SIJAMUONA”-JEREMIAH

Soma na hizi

Tupia Comments