Top Stories

Shule ya wanafunzi wanaosomea chini yaanza kujengwa baada ya JPM kutoa agizo ‘Tunakesha hadi Usiku’

on

January 18, 2021 Rais Magufuli alitoa tamko na agizo kwamba ijengwe vyumba vya kutosha vya madarasa pamoja na kuweka madawati ni baada ya kusambaa kwa video iliyoonesha Wanafunzi wakiwa wamekaa chini baada ya kukaa kwenye Madawati.

Baada ya kauli hiyo Ayo TV & Millardayo.com imefika shuleni hapo King’ongo kuzungumza na Afisa Elimu wa Shule ya Msingi Manispaa ya Ubungo Abdul Muheti kuhusu ujenzi wa madarasa hayo.

Itazame hii video hapa ujionee mwanzo mwisho ujenzi  unaoendelea muda huu shuleni hapo  King’ongo Kimara Dar es Salaam

Soma na hizi

Tupia Comments