Miji/Nchi

Kama umemiss home kwenu Shinyanga, basi acha leo ni kukumbushe…(+Pichaz)

on

Ni sehemu ambayo imebarikiwa ukarimu kwa watu wake, japo kuna makabila mengi lakini kabila la watu wangu Wasukumu wapo kila kona 87.1 Shinyanga, mkoa ambao pamoja na kuwepo kwa usafiri wa aina nyingine ila wao na baiskeli ni damu damu.
Kama makazi yako ni Shy town…Shinyanga na upo mahali kwa kuzitafuta pesa ili siku moja urudi home kuenjoy na familia yako…acha leo nikukumbushe baadhi ya maeneo yako mtu wangu.

Image00001

Shinyanga hupaswi kuuliza baiskeli zipo kila mahali

Image00005

Image00003

Barabara kuu ya Shinyanga Tabora

Image00002

Hapa unaanza kuingia mtaa kwa mtaa mtu wangu

Image00006

Image00009

Wafanyabiashara wa Baiskeli wakisubiria abiria, baiskeli ni usafiri unaotumika kama daladala kwenye baadhi ya maeneo ya Shinyanga.

Image00007

Kushoto makao makuu ya Tanesco Shinyanga

Image00008

Image00012

Stendi ya zamani kwa watu wangu Shy town

Image00011

Image00010

Shy town, wametisha kwa usafi wa mitaro

Image00013

Stendi ya zamani ya mabasi Shinyanga

Image00014

Image00015

Image00017

Makutano ya kuingia Hospitali ya mkoa wa Shinyanga

Image00016

Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye TwitterFBInstagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.

Tupia Comments