Duniani

PICHA & VIDEO : Viatu vitakavyoweza kubadilishwa rangi kwa simu kutengenezwa

on

Umekuwa ukipata shida ya kununua viatu kila siku?, bila shaka hii itakuwa Goodnews kwako mtu wangu, leo Sept 21 2016 nimekutana na viatu hivi ambavyo vinatarajiwa kutengenezwa na Kampuni ya Shift Wear ya Marekani vyenye uwezo wa kubadilishwa rangi kwa kutumia simu ya mkononi.

Kwa kutumia application kwenye simu yako itakayoconnect simu yako na viatu hivyo na itakuwezesha kubadilisha rangi ya picha yoyote unayotaka kwenye kiatu hicho, najua hii itapunguza bajeti ya kununua viatu mara kwa mara mtu wangu.

Nakusogezea video na picha za viatu hivyo mtu wangu vilivyopewa jina la “Chameleon Snikers” yani Snikers kinyonga. Baada ya kutazama usiache kuniachia comment yako umeionaje hii….

shiftwear-1-728x410

maxresdefault

2eec85fd00000578-3339184-image-a-15_1448876507264Nimekuwekea video hapa chini ya viatu hivyo

ULIMISS KUITAZAMA VIDEO YA NDEGE MPYA ILIYONUNULIWA NA SERIKALIILIYOWASILI JIJINI DARE ES SALAAM? UNAWEZA KUITAZAMA NIMEKUWEKEA HAPA CHINI

Soma na hizi

Tupia Comments