Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Sheria 7: Nchi ambayo ukitaka kuoa unamteka Msichana
Share
Notification Show More
Latest News
Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
August 11, 2022
“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro
August 11, 2022
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Mix > Sheria 7: Nchi ambayo ukitaka kuoa unamteka Msichana
Mix

Sheria 7: Nchi ambayo ukitaka kuoa unamteka Msichana

May 15, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Moja ya story ambazo sikuwahi kufahamu ni juu ya hizi sheria za jamii mbalimbali duniani ambazo zinaweza kushtua kushangaza wengi wanaozisikia, kuzisoma ambapo kwa wale waliobahatika kuzitembelea sehemu hizi, basi ni mashuhuda…

Sudan

Katika nchi ya Sudan, hasa katika kabila la Latuka, kama mwanaume anataka kumuoa mwanamke, anamteka. Mwanaume huyo anaweza kuomba ruhusa ya baba kwanza ambaye kama atakataa, atalazimisha kumuoa mwanamke.

Ujerumani

Kabla ya ndoa nchini Ujerumani, hufanywa kwanza sherehe ya polterabend. Ni sherehe ambayo hufanywa na wanandugu kwa kutupa uchafu sehemu ambayo patafanyika harusi ili wanandoa wapafanyie usafi. Kitendo hiki kinatafsiriwa kuwa ugumu wa maisha watakayoishi kwenye ndoa. Panaweza kutupwa chochote isipokuwa vioo.

Iran

Nchini Iran, kama mtu atakupa kitu chochote (chakula, zawadi n.k), unatakiwa ukatae mara tatu kabla ya kukubali kupokea. Kufanya kinyume chake huhesabiwa ni kitendo kibaya.

Brazil

Katika kabila la Satere-Mawe, Brazil, mtoto wa kiume anapotimiza umri wa miaka 12, atakuwa mwanaume kamili kwa kuweka mikono yake sehemu maalumu iliyowekwa siafu ambao watamng’ata kwa dakika 10.

Venezuela

Makabila ya Yanomami (asili yake Venezuela), mmoja anapofariki, ndugu zake hula majivu yao wakiamini wanaifanya nafsi ya marehemu ihifadhiwe pema na mapepo mabaya hukaa mbali na maiti.

Ugiriki

Ugiriki, ni lazima kwa wagiriki kusema “piase kokkino” watu wawili wanapotamka neno moja kwa wakati mmoja. Kitu kama hicho hutokea kama mtu atamuona paka mweusi: atalazimika kutema mate mara tatu. Kama hatofanya hivyo, kitu kibaya kitamtokea.

Austria

Nchini Austria, wana Santa Klaus wao anaitwa Krampus ambaye hupita mitaani kuwatisha watoto ambao hutajwa kuwa na tabia mbaya. Utamduni huu hufanywa wiki ya kwanza ya December.

Mabibi na Mabwana MISS IFM 2017 kapatikana (FULL VIDEO)

UDOM wamempata Mrembo wao wa mwaka 2017 (full video)

You Might Also Like

Mwana FA alivyoungana na Viongozi mbalimbali kuhamasisha Zoezi la Sensa, Masuguru Wilayani Muheza

Bwawa la Mwalimu nyerere sasa kazi ni Usiku na Mchana, ‘kukamilika June 2024’ Waziri Makamba anena

Picha:Kutoka kwenye shangwe za Simba DAY uwanja wa Mkapa Dar es Slaam

Watalii zaidi ya 30 watembelea maporomoko ya Maji Hululu

Kampuni ya PAET imewekeza Dola Milioni 70 uendelezaji gesi

TAGGED: duniani, Pichaz, utafiti
Victor Kileo TZA May 15, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Baraza la Mitihani nalo lafunguka kuhusu wenye Vyeti feki
Next Article GOOD NEWS: Mwimbaji Mtanzania anayewania tuzo BET Awards 2017
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’
Top Stories August 11, 2022
Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’
Top Stories August 11, 2022
Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar
Top Stories August 11, 2022
Ukumbini: Bwana Harusi aonesha video ya mkewe akiwa faragha na shemeji yake chumbani
Top Stories August 11, 2022

You Might also Like

Top Stories

Ndugu abiria kulipwa Milioni 150, Wakili aibua mapya ‘Watu binafsi waliopost meme wajiandae’

August 11, 2022
Top Stories

Ajali Mbaya!! Watu sita wafariki, Polisi wafunguka, chanzo ‘Dereva alikuwa Mwendokasi, lilipinduka’

August 11, 2022
Top Stories

Hafla ya makabidhiano ya data za utafutaji wa Mafuta na Gesi asilia kwa vitalu Zanzibar

August 11, 2022
Top Stories

“Marufuku kuingia na silaha Taifa” Kamanda Muliro

August 11, 2022
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?