Habari za Mastaa

Aunt Ezekiel anaimani na Lowassa au Magufuli?, jibu liko hapa

on

aunt Ezekiel qqqqqqqqqqqqqqqTunafahamu kuwa kuna baadhi ya wasanii kwenye tasnia ya Bongo Movie wao walishatangaza hivi karibuni kuwa imani yao katika uchaguzi mwaka 2015 wanaamini CCM kitashinda kupitia mgombe wake Dk. John Pombe Magufuli.

Agosti 4, 2015 kupitia kwenye mtandao wa instagram mwigizaji Aunt Ezekiel ameamua kuyatoa ya moyoni na kumtaja mgombea wa urais  ambaye anaimani naye kwenye uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kuyaandika haya >>>Tunaimani na Lowassa..Mungu bariki Tanzania, Mungu bariki Africa

TUNAIMANIIII NA LOWASAAAA ???????????????????????????????????? ……. MUNGU BARIKI TANZANIA MUNGU BARIKI AFRICA…..

A video posted by Auntyezekiel???????????? (@auntyezekiel) on

PAPO KWA PAPO zipate habari zote zinazonifikia za siasa muziki, michezo, maisha, Breaking news na nyingine kwa kujiunga hapa na mimi >>> Twitter Insta FB na nitakua nikikutumia kila ninachokipata pia usisahau kusubscribe YouTube kwa kubonyeza hapa >>>Videos

Tupia Comments