Habari za Mastaa

EXCLUSIVE: “Nilitumia Million 30 kumsimamisha Rich Mavoko lakini akanikimbia”

on

Meneja Maneno aliyewahi kumsimamia msanii Rich Mavoko kipindi anaanza muziki wa Bongofleva amefunguka kwa mara ya kwanza kuhusu kutumia fedha zake kumsimamisha msanii huyo lakini alipoanza kupata jina alimkimbia na kumuachia hasara ya Million 30.

Meneja Maneno amedai kuwa fedha hizo hizo alizitumia kwenye kumtengeneza Mavoko ikiwemo kumfanyia shopping, kushoot video za nyimbo zake ikiwemo wimbo wa ‘Mary me’ na nyinginezo. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza Meneja Maneno akifunguka.

EXCLUSIVE: Pretty Kind kafunguka yaliyomsibu mpaka kuwa mlokole “Nilikuwa nadanga”

Soma na hizi

Tupia Comments