Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Mambo matano aliyozungumza Prof. Lipumba kuhusu CUF na Maalim Seif
Share
Notification Show More
Latest News
UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
May 30, 2023
Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023
May 30, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Stori Kubwa > Mambo matano aliyozungumza Prof. Lipumba kuhusu CUF na Maalim Seif
Stori KubwaTop Stories

Mambo matano aliyozungumza Prof. Lipumba kuhusu CUF na Maalim Seif

May 4, 2017
Share
2 Min Read
SHARE

Mwenyekiti wa CUF anayetambulika na msajili wa Vyama vya Siasa Prof. Ibrahim Lipumba leo May 4, 2017 kupitia kipindi cha Clouds 360 kinachorushwa na Clouds TV amesema hakuwa na namba ya Edward Lowassa wakati anajiunga UKAWA.

Aidha, kwenye mahojiano hayo Prof. Lipumba amesema kuwa amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha anaiongoza CUF katika kudai haki za wananchi tofauti na Maalim Seif ambaye mara kadhaa ikitokea suala hilo haonekani akisema: 

“Mwaka 2000 baada ya Uchaguzi Mkuu tuliingia kwenye maandamano Zanzibar, lakini Maalim Seif alikwenda Uingereza nilikuwa mstari wa mbele.

Prof. Lipumba amesema pia kuwa Maalim Seif amekuwa akidai kila anapokosana na mtu kisiasa kuwa mtu huyo anatumiwa na CCM akitolea mfano wa Ahmad Rashid, akisema:

“Ni kawaida ya Maalim Seif, akikosana na mtu kisiasa anasema anatumiwa na CCM. Rejea mgogoro na Ahmad Rashid.

Akizungumzia kuhusu kumpokea na kumtambulisha kwa viongozi wa UKAWA aliyekuwa Waziri Mkuu wa zamani wa Tanzania Edward Lowassa wakati anatoka CCM, Prof. Lipumba alisema:

“Mbatia ndiye aliyeniunganisha na Lowassa. Sikuwa na namba zake, na wakati anakuja, nilisema wazi suala la rushwa ni mfumo siyo mtu.

“Mzigo mzito anapewa Mnyamwezi, lakini huu wa kumnadi Edward Lowassa ulinizidi uzito, nisingeweza kuubeba.

Wakai huo huo Prof. Lipumba amebainisha kuwa hakuwa na nia ya kurejea katika nafasi yake ya Uenyekiti wa CUF baada ya kujiuzulu, lakini aliombwa na wanachama wa chama hicho.

“Sikuwa na nia ya kurudi kuwa Mwenyekiti CUF ila wanachama waliniomba nirudi baada ya uchaguzi kumalizika na hali.” – Prof Lipumba

Tazama Taarifa ya Habari Azam Two May 3, 2017

You Might Also Like

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba

Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023

TAGGED: CUF, lipumba, siasa, Tanzania news
Victor Kileo TZA May 4, 2017
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article VIDEO: Kipindi cha Maswali na Majibu Bungeni leo May 4, 2017
Next Article VIDEO: Waziri Lukuvi amemsimamisha kazi Afisa Mipango Miji Lindi
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.
Top Stories May 30, 2023
Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu
Top Stories May 30, 2023
Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu
Top Stories May 30, 2023
‘June 2024 kila kijiji kitakuwa na Umeme’- Waziri Makamba
Top Stories May 30, 2023

You Might also Like

Top Stories

UAE kutuma chombo cha anga kugundua dalili kuhusu asili ya maisha duniani.

May 30, 2023
Top Stories

Uganda yapitisha sheria mpya dhidi ya wizi wa viungo vya binadamu

May 30, 2023
Top Stories

Mpishi wa timu ya Arsenal Bernice Kariuki astaafu

May 30, 2023
Top Stories

Sentensi za Waziri wa Nishati January Makamba kwenye mahojiano na Clouds 360 Mei 30, 2023

May 30, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?