Habari za Mastaa

Sikiliza alichokijibu Diva kuhusu mahusiano yao kati yake na King Crazy Gk.

on

You-heardKama uliisikiliza You heard ya jana huu ni muendelezo wake ambapo kwa leo upande wa pili umeongea kwa sababu jana haukupatikana na upande wa pili ni Diva kaweka wazi mahusiano waliyonayo kwa sasa kati yake na Crazy Gk sikiliza kupitia 104.4 Clouds Fm Dodoma.

Bonyeza play kusikiliza.

Tupia Comments