Ad
Ad

Top Stories

Siku 21 za maombolezo, Shule aliyofundisha Hayati Magufuli enzi za uhai wake (+video)

on

Ikiwa bado Taifa lipo kwenye siku 21 za maombolezo ya kuondokewa na aliekuwa Rais Hayati Dkt. John Magufuli, AyoTV na millardayo.com imefika shule ya Sekondari Sengerema ambapo Hayati Magufuli aliwahi kufundisha masomo ya Chemistry na Hesabu enzi za Uhai wake (1982).

Soma na hizi

Tupia Comments