Top Stories

Siku 57 Hospitali, Mtoto wa Mbowe apona Corona asema “MUNGU ni mwema” (+video)

on

Mtoto wa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA), Dudley Mbowe, ametangaza kupona maambukizi ya Virusi vya Corona baada ya kupatiwa matibabu kwa takribani siku 57.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter amethibitisha hilo huku akiwashukuru watoa huduma wa hospitali ya Temeke.

#LIVE: PROF. KABUDI ANAWEKA WAZI UHUSIANO WA TANZANIA NA NCHI NYINGINE “MAGUFULI SADC’

Soma na hizi

Tupia Comments