Mix

Simanzi:Vilio nyumbani kwa Gift aliemiminiwa Risasi, mlezi wake afunguka

on

July 20, 2021 Ayo TV na Millardayo.com imefika hadi nyumbani kwa marehemu Gift Mushi aliyeuawa kwa kupigwa risasi na Alex Koroso ambaye naye alijiuwa kwa kujipiga risasi Tulio hilo lilitokea Mnamo July 17, 2021 katika Bar maarufu iliyopo Sinza Dar es Salaam wikiendi iliyopita.

Hapa Ayo TV na millardayo,com imefanikiwa kumpata Mama Mlezi wa Gift ameelaza jinsi alivyopata taarifa ya kifo pamoja na msimamo wa familia.

 

Tupia Comments