AyoTV

Okwi amerudi TZ ! Paparazzi hawajamuacha

on

Usiku wa June 24 2017 mshambuliaji wa zamani wa Simba Emanuel Okwi aliwasili kimya kimya uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Kambarage nyerere Dar es Salaam ili kujiunga na wekundu wa Msimbazi Simba, Okwi alipokelewa na makamu wa Rais wa Simba Geofrey Nyange Kaburu na kutotaka kuongea chochote na waandishi wa habari.

VIDEO: All Goals Taifa Stars vs Lesotho June 10 2017, Full Time 1-1 

Soma na hizi

Tupia Comments