Michezo

Simba robo fainali waangukia kwa maboss wa zamani wa Morisson

on

Klabu ya  Simba S. C itakutana na Orlando Pirates ya Afrika Kusini katika robo fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika.

Endapo Simba watafanikiwa kuwatoa Orlando Pirates, watakutana na mshindi kati ya Al Ittihad na Ahli Tripoli zote za Libya katika hatua ya nusu fainali.

Soma na hizi

Tupia Comments