Michezo

Simba SC imemfukuza kazi kocha Aussems

on

Simba SC imetangaza rasmi kuachana na kocha wake mkuu Patrick Aussems kwa kile walichodai kuwa ameshindwa kufikia malengo, Aussems alianza kusimamishwa kazi kwa zaidi ya wiki kisa kikidaiwa kuanzia kuondoka bila ruhusa.

Moja kati ya sababu zilizopelekea kumfuta kazi Aussems ni pamoja na kushindwa kufikia malengo ya kucheza hatua ya Makundi ya michuano ya CAF Champions League msimu 2019/2020.

Soma na hizi

Tupia Comments