Michezo

Simba SC imemtangaza kaduguda kuwa mrithi wa Mkwabi

on

Bodi ya wakurugenzi ya Simba SC LTD leo imetangaza rasmi kuwa Mwina Kaduguda anakuwa kaimu mwenyekiti wa Simba SC hadi pale uchaguzi utakapofanyika kuziba nafasi hiyo, Kaduguda anakaimu nafasi hiyo iliyoachwa na Swedy Mkwabi ambaye alijiuzulu September 14 2019 kwa sababu zake binafsi.

Pamoja na hayo Bodi ya Wakurugenzi pia imetangaza kuwa Salim Abdallah anakuwa makamu mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi ya kampuni ya Simba SC, chini ya mwenyekiti wa Bodi Mohammed Dewji ‘MO’

VIDEO: BONDIA ARNEL TINAMPAY NAMBA 2 KWA UBORA PHILIPINE BAADA YA MANNY PACQUIAO KATUA DSM

Soma na hizi

Tupia Comments