Mix

Simba SC ni Club namba 13 kwa ubora Afrika

on

Club ya Simba SC kwa sasa inatajwa kuwa club namba 13 kwa ubora Afrika, Simba imepanda kutoka nafasi ya 28.

Katika list hiyo ambayo imetaja TOP 30, namba 1- Al Ahly πŸ‡ͺπŸ‡¬ , 2- Esperance πŸ‡ΉπŸ‡³ 3- Wydad πŸ‡²πŸ‡¦ 4- Mamelod πŸ‡ΏπŸ‡¦, 5- Zamalek πŸ‡ͺπŸ‡¬, 6- TP Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©, 7- Raja πŸ‡²πŸ‡¦, 8- Etoile πŸ‡ΉπŸ‡³, 9- Horoya AC πŸ‡¬πŸ‡³ na 10- Al Hilal πŸ‡ΈπŸ‡©.

Viwango hivi ni kutokana na points ambazo timu inakusanya katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho (Updated 29/04/2021).

Soma na hizi

Tupia Comments