Ad

Michezo

Simba SC wakwea pipa kuifuata FC Platnum

on

Ijumaa ya leo December 18 2020 kikosi cha Simba SC chini ya kocha wake Sven Vanderbroeck kimesafiri kuelekea Harare Zimbabwe kucheza mchezo wake wa kwanza wa round ya kwanza dhidi ya FC Platnum.

Mchezo huo wa kwanza wa michuano ya CAF Champions League utachezwa Jumatano ya wiki ijayo December 23 2020 na marudiano ni January 5-6 2021.

Soma na hizi

Tupia Comments