Michezo

Simba SC watangaza kumalizana na Pascal Wawa

on

Club ya Simba imetangaza kuwa haitoendelea kuwa nae beki wao Raia wa Ivory Coast Pascal Wawa mara baada ya mkataba wake kumalizika mwisho wa mwezi huu, Wawa anaondoka Simba SC baada ya kuitumikia kwa miaka minne.

 

Tupia Comments