Millard AyoMillard Ayo
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
  • Contact
Search
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Reading: Simba SC watangaza rasmi kuondoka kwa Manara, wampa shavu Ezekiel
Share
Notification Show More
Latest News
Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
March 27, 2023
Picha: Kutoka kwenye Usiku wa Malkia wa nguvu Mlimani City Hall DSM
March 26, 2023
Aa
Millard AyoMillard Ayo
Aa
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Search
  • Top Stories
  • Entertainment
  • Sports
  • Magazeti
Follow US
  • Contact
  • Blog
  • Complaint
  • Advertise
© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.
Millard Ayo > Blog > Sports > Simba SC watangaza rasmi kuondoka kwa Manara, wampa shavu Ezekiel
Sports

Simba SC watangaza rasmi kuondoka kwa Manara, wampa shavu Ezekiel

July 28, 2021
Share
1 Min Read
SHARE

Club ya Simba imemteua Ezekiel Kimwaga kuwa Kaimu Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano ya Klabu hiyo kwa kipindi cha miezi miwili baada ya Hajis Manara kuondoka Simba na kuachia nafasi hiyo.

Katika kipindi hicho cha miezi miwili Kamwaga atashiriki katika maboresho ya muundo wa utendaji wa Idara hiyo akiwa ni Mwandishi wa Habari mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 15 kwenye tasnia ya habari akifanya kazi katika Vyombo vya Habari vya ndani na Kimataifa.

Taarifa ya Simba SC imesema Kamwaga anaijua vizuri Club ya Simba na historia yake kwani amewahi kuitumikia katika nafasi za Msemaji wa Klabu na Kaimu Katibu Mkuu wa Simba.

You Might Also Like

Kocha Mkuu wa Taifa Stars awaita kikosini wachezaji hawa wawili wa Simba SC

Full Video: Tazama Mandonga alivyompiga Kenneth ‘Raia wa Uganda’ na kuibuka Mshindi wa Pambano hilo

Picha: Hawa ndio ‘Perfect Kanzu’, mastaa na Watu maarufu ununua hapa Kanzu zao Dar es Salaam

Kapombe na Tshabalala waongezwa Taifa Stars

Kocha Micho wa Uganda ajitetea kipigo cha Taifa Stars “Timu ya Mpito”

TAGGED: Ezekiel Kimwaga, manara
Edwin TZA July 28, 2021
Share this Article
Facebook TwitterEmail Print
Share
Previous Article Live:Rais Samia Suluhu Hassan akizindua chanjo ya Covid-19 Ikulu DSM
Next Article ‘Chanjo ni salama,Rais umesonga mbele kishujaa’- Waziri wa Afya (Video+)
Leave a comment Leave a comment

Leave a Reply Cancel reply

You must be logged in to post a comment.

- Advertisement -

Latest News

Kenya: Maandamano ya upinzani kuendelea licha ya onyo la polisi wiki iliyopita.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023
Rais wa Chad atoa msamaha kwa waasi 380,waliofanya mauaji ya baba yake “2021”.
Top Stories March 27, 2023
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 27, 2023
Magazeti March 27, 2023

You Might also Like

Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 27, 2023

March 27, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo March 26, 2023

March 26, 2023
Magazeti

Habari kubwa Magazetini Kenya leo March 25, 2023

March 25, 2023
Show More
//

To be recognized as Africa’s leading and most trusted online media network providing quality content across all our media platforms by 2025

Sign Up for Our Newsletter

Subscribe to our newsletter to get our newest articles instantly!

Millard AyoMillard Ayo
Follow US

© 2022 MILLARD AYO. Designed by F&A. All Rights Reserved.

Removed from reading list

Undo

Lost your password?