Michezo

Simba SC watangaza rasmi ujenzi wa Uwanja wao, Barbara afunguka (video+)

on

CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez leo Disemba 17, 2021 ameongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam na kueleza mpango wa Simba SC kuamua kwa vitendo kujenga uwanja wao wa mechi.
Taarifa hizi zinakuja siku chache baada ya Barbara kuzuiwa kuingia katika eneo la VIP katika uwanja wa Benjamin Mkapa ijini Dar es Salaam.

KAULI YA MWENYEKITI WA SIMBA SC KUHUSU USAJILI, CHAMA JE?

Soma na hizi

Tupia Comments