TFF imethibitisha kupokea barua ya Simba SC ya kuomba kuchukuliwa hatua za kisheria kwa makamu Mwenyekiti wa Yanga SC Fredrick Mwakalebela kwa kutangaza kuwa amefanya mazungumzo na mchezaji wa Simba SC Cloutous Chama wakati bado ana mkataba wa zaidi ya miezi 6 na Simba SC.